Gentleman,Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Hii hakuna kurudi nyuma Tena nimeplan kuhamia Tennessee stateGentleman,
wastaarabu huwa wanasema nimepumzika kunywa pombe kwa sasa, kwasababu wengi waliowahi kujipiga kifua hadharani na kujitapa kuacha pombe, lakini mazingira yaliwashinda, na wakaanza kurudi kwenye matumizi ya pombe kwa siri na hatimae wakaumbuka vibaya sana mbele ya jamii. But usema umepumzika, na ukirejea kwenye matumizi ya pombe tena nadhani utarejea bila kificho na hutaumbuka hata mbele ya jamii ๐
Unasema kweli?Mimi nashukuru Alhamdulillah tokea nizaliwe sijawahi kuvuta chochote zaidi ya oxygen na sijawahi jihusisha na utumiaji wa kilevi chochote
Huku duniani umekula xmass ngapi??Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Kobazi wenzio wanavuta shisha,sigara na bangi kwa kuwa allah hajakatazaMimi nashukuru Alhamdulillah tokea nizaliwe sijawahi kuvuta chochote zaidi ya oxygen na sijawahi jihusisha na utumiaji wa kilevi chochote
Ni ukweli kabisa haikuwa rahisi kwani nimekulia kwenye mazingira yenye ushawishi sana ndani jiji ya Dar , lakini mpaka sasa miaka 26 nimeishi kwa nidhamu kubwa .Unasema kweli?
Hongera sanaNi ukweli kabisa haikuwa rahisi kwani nimekulia kwenye mazingira yenye ushawishi sana ndani jiji ya Dar , lakini mpaka sasa miaka 26 nimeishi kwa nidhamu kubwa .
Haikuwa rahisi nimeitwa mshamba , nimepata bullying kibao kwa marafiki pamoja na Wanawake mtaani na mashuleni kisa life style yangu . Ilikuwa inafikia stage mtaa mzima wapo wana Vibe na mademu Mimi niko zangu bize na football na games .
Chuoni wakati wa field sisahau wenzangu walinitolea uvivu , ilikuwa baada ya kazi weekend wenzangu wote wanaenda pub kupata nyama choma , kuPombeka , pooltable , kuEnjoy mziki nk ila Mimi tu nilikuwa najifungia ndani naperuzi ๐ wakanitolea uvivu kunisema mbona sijichanganyi.
Ukitaka kuacha kitu ambacho kinaadiction make very sure UMEPATA MBADALA WAKE.Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Oya dogo temana na mimi. Karibuni naanza shule. Kuna mambo mazuri ya kupendeza yanakuja lazima ujue.Nipo tayari kukusapoti na kusimamia Mr loose Nut kuacha mabange #BangeNiMbaya
Okoa mapafu na akili yako Mr Loose nut bado haujachelewaView attachment 3692905
kwa jibu hili, lazima uache ulabua lot
Babu hongera sana , ndio maana siku hizi Jf unaingia kwa manati . Kweli pesa sio kila , Babu pamoja na pesa zako ila huna furaha na Elimu yako ya darasa la 7 sasa unaongeza .Oya dogo temana na mimi. Karibuni naanza shule. Kuna mambo mazuri ya kupendeza yanakuja lazima ujue.
Mbona kama bado umelewaModerator ongezea s hapo kwenye title iwe onwards