Hio kawaida hutokea sana kwangu watu kudhani hivyo sababu ya vibe ya utani na ukorofi kiasi ambacho wakinizoea katika uhalisia wanakuwa surprised jinsi wanavyonikutaHongera sana
Kumbe una miaka 26 wow π
Ujue nimekuuliza maana hua nakuona una ka ukorofi fulani nikajua hua unakunywa au mhuni kumbe sivyo
Hongera tena ujana maji ya moto watu wanataka kujaribu kila kitu
Na ufute Ule wimbo wa marioo bia tamuBaada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Oooh basi sawa hongera sana broHio kawaida hutokea sana kwangu watu kudhani hivyo sababu ya vibe ya utani na ukorofi kiasi ambacho wakinizoea katika uhalisia wanakuwa surprised jinsi wanavyonikuta
Kumbe me mhenga! Miaka 20+ natumia, cheupe kiheshimiwe!Mikwara tu! Hilo tukio ulilofanya ukiwa umelewa utalisahau tu!
Sio mimi niliyeacha!Kumbe me mhenga! Miaka 20+ natumia, cheupe kiheshimiwe!
Nikifikia level ya maamuzi yako nitaleta na mimi uzi!
Ooh, kumbe nime qoute vibaya, nina wenge za keupe halafu nakuta na uzi kama huu!Sio mimi niliyeacha!
Maamuzi magumu kama haya ungemshirikisha na shetani upate maoni yake.Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Alcohol free since January 1, 2024.Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Kila laheri katika safari yako mpya ya kunywa mirinda nyeusi......Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Kwani umeisoma comment yangu yote?Mpka sasa nina county down ya masaa 13 free from alcohol
AmenβTokea sasa usiwe mnywaji wa maji tu, lakini tumia divai kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.β
1 Timotheo 5:23 (SUV)
Sasa si ungeamdika kizungu chote mkuu,ili tujue ulikuwa unamaananisha nini.Alcohol free since January 1, 2024.
Jana nimefurahi sana nilikuwa katika event na marafiki wa siku nyingi.
Tumekaa, tumekula, tumefurahi.
Wakati tunapiga stories vinywaji vikatembea, watu wananiuliza utakunywa nini? Kulikuwa na beers pale, nikasema nakunywa maji tu.
Sasa kuna rafiki yangu mmoja wa zamani anajua nilikuwa nakunywa Scotch Whisky sana, akaniuliza akisema au unakataa beer kwa sababu wewe mtu wa Scotch Whisky? Sema tu, zipo Scotch lia, kuna Henessy, sema kinywaji chako tutakupatia.
Nikamwambia nishakunywa kila kitu kuanzia moonshine mpaka rum ya 96 proof, nimeacha kunywa.
It felt so good to say no to alcohol and to drink just water.
Wewe inawezekana ushalewa saa hiziSasa si ungeamdika kizungu chote mkuu,ili tujue ulikuwa unamaananisha nini.
Sasa hizo sccritttch ndio nini.
MATAKO YAKO.
It felt so good to say no to alcohol and to drink just water.Alcohol free since January 1, 2024.
Jana nimefurahi sana nilikuwa katika event na marafiki wa siku nyingi.
Tumekaa, tumekula, tumefurahi.
Wakati tunapiga stories vinywaji vikatembea, watu wananiuliza utakunywa nini? Kulikuwa na beers pale, nikasema nakunywa maji tu.
Sasa kuna rafiki yangu mmoja wa zamani anajua nilikuwa nakunywa Scotch Whisky sana, akaniuliza akisema au unakataa beer kwa sababu wewe mtu wa Scotch Whisky? Sema tu, zipo Scotch pia, kuna Henessy, sema kinywaji chako tutakupatia.
Nikamwambia nishakunywa kila kitu kuanzia moonshine, Champagne mpaka rum ya 96 proof, nimeacha kunywa.
It felt so good to say no to alcohol and to drink just water.