From now on, sitatumia pombe ya aina yoyote. Miaka 12 ya unywaji wa pombe si haba; it's enough

Pambana, unaweza kabisa!
Kila siku unayoamka bila pombe ni ushindi mkubwa kwa afya, akili, na uhuru wako.
 
Pombe sio mbaya watu ndio wabaya. Kama unashindwa kuicontrol pombe hata ukiacha bado kwenye maisha mengine ya kawaida yatakutesa utashindwa kuyacontrol
 
hii Dunia ilivyochafuka bado kuna watu wanalewa ,...🤯
 
Kabisa usitumie aiseee sio nzuri kwako..!!

Zinakupeleka NY kisha zinakutua bongo, achana nazo..!! 😹
 
Pasuka
 
Waiter lete safari mbili baridiii
 
Mimi nashukuru Alhamdulillah tokea nizaliwe sijawahi kuvuta chochote zaidi ya oxygen na sijawahi jihusisha na utumiaji wa kilevi chochote
Umevuta nyonyo ya b mkubwa acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…