From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Hey, Magufuli is not a lost case..!!

Magufuli is a living being though his body is under six feets down the soil..

Nawapongeza sana hawa waandishi Kwa sababu sasa matendo na maspamuzi yake wakati wa uongozi wako yako documented Kwa ajili kizazi kijacho kujifunza..
 
waacheni watanzania wajue kila jambo kumhusu huyu jamaa, hii ndiyo njia pekee ya kujua nyayo zake - vpi na ule mzigo ulioenda China wameuandikamo? 😀
Jamaa wamepeleka China mzigo wao halafu wanamsingizia mwendazake,
 
Ila Tanzania tutaendelea kuwa masikini daima kwa huu ujinga kwani huko chato wao hawastahili maendeleo au chato sio tanzania
 
Hawajaandika wachaga walivyojipendelea raslimali za Taifa wakajipelekea kwao Mana wao ndio watangulizi kwa kusoma so walikuwa na ubinfasi wa hali ya juu. Yaani mchaga tu kununu duka ambalo sio la mchaga mwenzake sahau. Sema vyasaka wao wananunua kwao
Kabisa wachaga wabinafsi sana na sio wa kupapa nchi hata second
 
Hilo li askofu nalo linawaumini kabisa kuna watu wanasali kwake kiongozi wa dini mwenye chuki?
 
Hao wenye utamaduni wa kusoma vitabu ni akina nani?
 
😅😅😅
 
Chuki kumzidi Magufuli ambaye alikiri kutokupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani-akasema yakikosa koneksheni?
Kwani chato ipo nchi gani wewe zwazwa au chato ipo kenya na hizo flyover na hizo barabara alizojenga huko dar napo alipapendelea nyie machizi.
Alafu kiongozi wa dini utakiwi kujihusisha na siasa moja kwa moja na kuwa upande fulan coz unapokea waumini wenye itikadi tofauti ndio maaana YESU alisema ya kaisali muachieni kaisali na ya MUNGU muachieni MUNGU lakini ilo liaskofu lenu linachuki kama lilichukuliwa mke kama ndio wewe mwenyewe au chawa wake kamwambie afanye kazi yake.HAKUNA MKAMILIFU CHINI YA JUA
 
Kwani chato ipo nchi gani wewe zwazwa au chato ipo kenya na hizo flyover na hizo barabara alizojenga huko dar napo alipapendelea nyie machizi.
Umekaza magego kuitaja Chato, wapi nimetaja Chato hapo. Nimeuliza Chuki kumzidi Magufuli ambaye alikiri kutokupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani
 
Umekaza magego kuitaja Chato, wapi nimetaja Chato hapo. Nimeuliza Chuki kumzidi Magufuli ambaye alikiri kutokupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani
Nitajie jimbo ambalo magufuli hakupeleka maendeleo yaani hakuna mradi wowote uliofanyika wewe zwazwa
 
Hawa waandishi ni wa kuwashitaki

Defamation
MediaNewspaper Act
i) Section 35(1) “any matter which, if published, is likely to injure the reputation of any person by exposing him to hatred, contempt or ridicule, or likely to damage any person in his profession or trade by an injury to his reputation, is defamatory matter”.

ii) Section 35(2) “The matter referred to under subsection one (1) shall qualify to be a defamatory matter even when it is published against a deceased person.”

iii) Section 36 (1) A person shall be deemed to make publication of a libel if that person causes the print, writing, painting, effigy, or other means by which the defamatory matter is conveyed, to be dealt with, either by exhibition, reading, recitation, description, delivery or otherwise, in a way that the defamatory meaning thereof becomes known or is likely to be known to either the person defamed or any other person.

iv) Section 38(3) “Nothing in this section shall exempt any person from any liability of a civil or criminal nature under any other Part of this Act or under any other written law if the publication of a matter alleged to be absolutely privileged is prohibited or the relief to a person injured is available under the Constitution of the United Republic.”

Mwenye privilege na vitendo hivyo hapo juu ni Rais, Serikali, Bunge, Spika labda hao waandishi waliidhinishwa na mamlaka tajwa hapo juu.
DPP atang'olewa kisha mashitaka dhidi yao yatarindima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…