From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Katika wapumbavu utakuwa unaongoza, wachaga lini waliongoza taasisi ya Urais?
Majuha hawawezi ficha ujuha wao
Ulichelewa kujua mie kitambo mno Ni zaidi ya jua ama mpumbavu mkuu. Yaani mie Ni mjinga Mara trillion trillion bilioni na mabilioni.
Ama kama Kuna lingine umesahau ulizia marafiki,jamaa,ndugu,co workers yaani wote ama gugo ili uongezee Mana Naona Kama umenipendelea nahitaji zaidi ya mzigo ulionipa ama hiyo hadhi
 
Habari kumhusu JPM zikiachiwa 'critics' wake kuziandika ni rahisi kumzushia uongo, ni vyema na 'Pro-JPM' nao waandika kitabu kujibu hoja za 'critics' wake.
Ushasikia kuna mtu kaandika kitabu kumtetea shetani? Kamayupo siyo maarufu pande hizi hatujamsikia
 
Nani aliwaambia Watz wanahitaji au wanapenda kusoma vitabu,,, wanaume wazima wanashindana na Marehemu Mwanaume mwenzao,,,ubaya Au Uzuri wa Hayati Magufuli hachafuki kirahisi rahisi,,,Ana miaka miwili amepumzika zake lakini watu wanaweweseka vibaya mnoo,,,Wangefanya yao tuu waachane na Chifu kwa kuwa hata wafanye nini haibadilishi kitu jamaa alijua namna ya kuishi mioyoni mwa watz waliowengi licha ya mapungufu yake lakini ana Mema yake na mazuri yake Mengi mnoo!!!
Usitusemee sisi siyo wajinga kama wewe tafadhali, sema anaishi mioyoni mwa sukumagang
 
Izi ela wanazopewa na mafisadi watazikumbuka badae. Wanaangaika na Marehemu. Wakiugua wanakosa ela za matitabu Hawa ndio waandishi wetu. Badala kupigania ustawi wao , wanabaki kutumika. Muda utaongea
Magufuli mwenyewe fisadi, kafisidi hela za walipa kodi kuendeleza alikozaliwa
 
Izi ela wanazopewa na mafisadi watazikumbuka badae. Wanaangaika na Marehemu. Wakiugua wanakosa ela za matitabu Hawa ndio waandishi wetu. Badala kupigania ustawi wao , wanabaki kutumika. Muda utaongea
Magufuli mwenyewe fisadi, kafisidi hela za walipa kodi kuendeleza alikozaliwa
 
Hao waandishi wanatafuta hela labda na umaarufu. Kumsema mtu ambaye hawezi kujitetea nakosa lugha nzuri ya kuita kitendo hiko. Labda atokee mtu mwingine wa kuandika kitabu kwa yale mazuri aliyofanya JPM,ni fursa pia. Maiti asipoweza kujitetea walio hai wamsemee.
Hitler na Idi Amin na madikteta wenzake wamefariki na wanasemwa? Ana nini cha ziada alichonacho asisemwe kwa uovu wake?
 
Mambo ya uchaguzi ndio maana hata vyama vya upinzani vinashirikiana ili kupata kura nyingi ukichilia mbali na kuchukua watu kutoka ccm, mimi nazungumzia kilichopo mtaani Samia hakubaliki kama anavyokubaliki Jiwe, sasa hizo rekodi mlizoweka sawa ni rekodi mkuu?
Hakubaliki kwa tafiti ipi? Sema hakubaliki kw sukumagang
 
Kiukweli nilitokea kumchukia sana hayati Magufuli hasa kwa mambo 'binafsi' hata kabla hajawa rais!

Ila pamoja na yote Magufuli alikua ana afadhali ukimlinganisha na Kikwete au Samia tuongee tu kwa kumtendea haki.

Ni nani hakupapendelea kwao nchi hii?

Nyerere na Mara? Nyerere na akina Butiku?

Mwinyi na Zanzibar/Mkuranga?

Mkapa na kusini?

JK?

Pili kuna haja gani ya kutumia rasilimali kubwa hivyo kuchapisha kitabu chenye maudhui yasiyo na msaada? Lengo ni kujifunza? Kama ni kujifunza si tunayo historia ya Gbadolite huko Zaire sasa DRC? Nani ana fadhili hayo na kwa maslahi gani?

Magufuli ni lost case kwa sasa haya hayatusaidii.

Mwisho tuwe makini sana na waandishi uchwara maana huu ni ulaji unatafutwa kwa mtu na ni njia ya kututoa kwenye reli.
Kama yeye alieachukia watu na kuwaumiza waache watu watoe nyongo zao.Hakuna kitabu kikaandikwa ndani yake kikawa mavi matupu so hata magazine za porn huchapishwa zikiwa na uchafu ila zina targeted customer wake.Wacha tumsome madudu yake aliejifanya malaika huku akiumiza wenzake na kujiona Mungu mtu.
JPM mimi simpendi sitakuja kumpenda no worst president katika mlolongo wa marais waliowahi kuhudumu hapa JMT.
 
Ila wamemkamia mtu ambaye harudi Tena badala wa focus na future na mambo ya muhimu wao mara chato mara magufuli inachosha
Ukichoka usiwasome, Hitler bado anasemwa, tunataka wengine waandike uovu wa shetani Magufuli
 
Walinyamaza kimya wakati mwenyewe yuko hai. Jasiri ni wale waliopaza sauti akawasikia akasirika sana halafu wakapaza tena na tena.Wengine walifungwa,waliumizwa wakapewa kesi feki,wengine walinyang'anywa leseni zao za kazi za uwakili,Wengine biashara zao ziliharibiwa,wengine walidhurumiwa kwa nguvu kwenye uchaguzi n.k.Hao ni wazalendo wenye misimamo thabiti.Huwa nawadharau sana wale wanaompigaga risasi "nyati aliyekwisha kufa"

wakati hayo yanafanyika hao Waandishi wa habari walinyamaza kimya kabisa,vyombo vya habari vilinyamaza kimya kabisa.Wapo wachache sana wanaohesabika nawakumbuka waliopiga kelele.
Umeonyesha kiwango kikubwa cha pumbavu. Period
 
Wapuuzi hao achana nao. Wanajitoa akili wakati ukweli wanaujua. Kwani mtu kujenga anapotokea kavunja katiba au sheria gani?

Kwamba angestaafu urais nae angeanza kumuimba rais aliyepo apeleke barabara, hospital, maji, umeme huko Chato.

Mi sina kupuuza. Maana ulikuwa rais hukufanya kwenu. Huo sio uzalendo ni uhanithi.
Mnashindana kwa kiwango cha upumbavu, yaani:
Kuchukua pesa za nchi bila kupitishwa na bunge siyo kosa?
Kuipa kampuni tenda kubwa bila kutangaza tenda na kuishindanisha siyo kosa?
Kupeleka miradi kwa upendeleo nyumbani kwako ni kuacha sehemu yenye shida siyo kosa?
Mnatumia kiungo gani kufikiria?
 
Back
Top Bottom