From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

From the legend
 
Kwa nini unahamasisha uzinzi?
 
Ehee mtoa mada akisha-solve serious money problems zake ashakuwa tajiri kinachofuatia ni nini, kama nakuona ewe mdada mdangaji pro max mwenye tabia ya kuumiza wanaume bila sababu Hannah
Huyu ana saikolojiko problem muache bure maadam kuna wanaume wanamtumia kupata furaha sio haba anatufaa sana kwa matumizi ya hapa na pale cc Hannah
 
Pretender loh. Sasa nipewe hela na nina zangu za kunitosha. Mtu wangu niko naye sio kwa sababu ananipa hela. Tuko kupeana raha na kusaidiana kwa shida na raha.
Wacha wee....so wee umefuata de libolo tuu kwake. Aisee kweli wee superwoman
 
Sihamasishi uzinzi. Nakupa siri zilizofichwa na Dunia kwa wanaume. Now wanakufa daily km kuku.

Hv umewahi kujiweka kwenye nafasi ya wazazi wa watoto wa kiume ama wa kike wanaokufa kisa mapenzi?

Umeona wamekufa kifo cha kishujaa ama?
Kwa hiyo kumtumia mwanamke kama chombo cha starehe kwako sio uzinzi?
Utakufa na dhambi yako bwashee
 
Vijana wa sasa wanatakiwa kujua haya.
1. utamu wa mwanamke uko kitandani tu nyingine huwa ni mchanganyiko.

2. Kama mwanaume hakikisha jambo la kwanza ni kumridhisha mkeo kitandani.

3. Wanawake huwa wanaishi katika ulimwengu wa matumaini jitahidi kila siku awe na matumaini makubwa na wewe na kila unalomweleza akuelewe.

4. Akili za wanawake zinafanana hata awe amesoma vipi au ni hajasoma kiasi gani watu hawa hutofautiani taaluma tu ila siyo akili za maisha za kawaida.

5. Wanawake huwa hawaamini ukweli kwahiyo jitahidi kumwambia ukweli uliochanganywa na uongo ukiwa mkweli sana kwa mwanamke unajitafutia matatizo.

6. Jitahidi kumpa fantasy moments walau once a day.

7. Siku moja moja usiache kumpiga walau Kofi hasa akiwa mpya kwako ili kuestablish authority.

8. Majina Sweet, Honey, yatumike kwenye special occasions tu siyo kila siku.

9. Usionyeshe kama unapenda sana kama mjinga.


10. Jitahidi kuwa na hela za kuhudumia kwa mahitaji japo siku moja moja jifanye hauna hela asote kidogo ujue loyalty yake.

Mwisho kabisa usiwe na mwanamke mmoja ila ufanye kwa heshima usiwe kama lijinga jinga kila siku kufumaniwa kama jogoo.


Just mtazamo wangu tu.
 
Hata kama una ndoa ya kikristo ndugu yangu?
 
Hahahaha hawa sasa ndio ma legends wa ukweli yaani. Much respect sana.

Naweza kusema madogo mkifa ki mapenzi umejitakia mwenyewe sasa
 
kuna demu nilimpata nikajenga mtazamo wa kijnga na kipumbavu ety kumfurahisha mwanamke

"Mwanamke hafurahishwi"
Tafiti zinaonesha kila zawadi utakayompa mwanamke kwake ina score 1 mark hata kama ungemnunulia ndege


Tumia akili sana,focus kwenye mambo yako muhimu pasipo kuyumbishwa na hisia

Ukimpenda mwanamke kwa hisia utakuw dhaifu sana kias kwamba kila atakokuambiwa mwanamke hata la kipumbavu utalitekeleza kwa kuogopa kumuumiza ili ulinde furaha yake lakin tambua kuwa the same woman mambo yakianza kwenda mrama atakulaumu na kukuona mwanaume fala hutumii Akili alaf kinachotokea upigwa chini wahuni wanapita nae

"Use your heart but carry your brain with you"
 
Bila shaka umesoma kitabu kinaitwa Bro code umechambua vyema hasa
 
Kuwa na Mwanamke mmoja kwa maana mke, ni udhaifu mkubwa sana kwa sisi Wanaume.
Hahah, mkuu unaweza kuwa na mke mmoja then ukawa na sehemu ya kupunguzia stress na genye pale mke akizingua, huwa wake zetu wanakuwa kwenye Comfort zone baada ya kuingia kwa ndoa.
 
Hahah, mkuu unaweza kuwa na mke mmoja then ukawa na sehemu ya kupunguzia stress na genye pale mke akizingua, huwa wake zetu wanakuwa kwenye Comfort zone baada ya kuingia kwa ndoa.
Huu ni uzinzi Wanaume tunaoa wake wengi hstupunguzi nyege.
 
Huu ni uzinzi Wanaume tunaoa wake wengi hstupunguzi nyege.
Tusipangiane, mimi naoa mke mmoja na natafuta mmoja wa kufurahia nae. Kama ni uzinzi tu mbona ninfanya dhambi kibao😂
 
Tusipangiane, mimi naoa mke mmoja na natafuta mmoja wa kufurahia nae. Kama ni uzinzi tu mbona ninfanya dhambi kibao😂
Umemjibu kiume sana.........asituletee mafundisho ya wanawake ya hofu dhidi ya wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…