From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

Mwambieni aache kujipa umaarufu sana kwenye hii dunia huyo nae wamuue ili wagundue nini kwa mfano.
 
Msimbe akili zake bhana.Nilishamwambia asijaribu kumwaga damu tena yeye masikio anaziba .Chura kiziwi kweli.

Kuna msemo wa kihaya unasema hivi:embwa keta kaile mkila teluga amulilo.Yangu macho,huyu bwana alinusurika risasi zote zile sio mtu wa kawaida
 
Wana kazi ngumu sana ya kumlinda. Wangekuwa na akili timamu, wangemuachia tu uhuru wake.
 
Unaongea kama naibu mungu au nabii na mchungaji wa chadema?

Toka hapa na ujinga wako
Ulipaswa usitishe kauli za huyo mwehu aliyepo ukonga aliyekuwa anandaa uhaini na mapinduzi kwa kauli zake za kukinukisha!

Toa hapa mikwala yako ya kishehe hapa.
Kuwa na subira naibu wa shetani
 
Kuwa na subira naibu wa shetani
Eti nasitisha

Yaani utoke kutetea hela za tonetone kuliwa, halafu uje kutaja taja hapa neno la MUNGU kwa mahaba yako

peleka hayo mahaba kwenye madhabahu ya bavichaa ndo wana utii wa injili hasi
 
Eti nasitisha

Yaani utoke kutetea hela za tonetone kuliwa, halafu uje kutaja taja hapa neno la MUNGU kwa mahaba yako

peleka hayo mahaba kwenye madhabahu ya bavichaa ndo wana utii wa injili hasi
Hata shetani alianza na sentensi kwa kutumia neno la ETI pale bustanini Eden.

Hivyo mkuu pita hivi↘️
 
Hivi ni nani alimwekea sumu Harrison Mwakembye?

Ni nani aliyemwekea Sumu Philips Mangula?

Ni nani alimfahamu afe kifo cha kimya kimya Edo?
 
Gerezani Mawasiliano ni Kwa njia ya Barua so hapo atakua aliandika barua ndugu yake anaye operate Account kwa sasa akapost japo barua zote husomwa na Askari Magereza kabla ya ndugu yako kukabidhiwa. Ukikutana na Askari mtata atakwambia uandike kwa kiswahili ila wengine hata ukiandika kwa Kinyaturu fresh tuu unautoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…