From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

 
Wataua wangapi?
 
Huyo bwana Jela hana shida. Maana yeye anapokea amri tu. Hana mamlaka ya kumtoa Mh Lissu. Yawezakuwa inamuumiza lakini hana jinsi. Akicheza vibaya kabarua chake kinaota nyasi
 
Kiki za kitoto sn hz
 
Huyo bwana Jela hana shida. Maana yeye anapokea amri tu. Hana mamlaka ya kumtoa Mh Lissu. Yawezakuwa inamuumiza lakini hana jinsi. Akicheza vibaya kabarua chake kinaota nyasi
Umesema sahihi kabisa, na sikuwa na maana ya kumhusisha yeye katika uamzi wa namna hiyo.
Ninachosema, kudhurika vyovyote kwa Tundu Lissu huko Gerezani hakuwezi kutokea bila yeye kuwa na taarifa. Ni lazima amri hiyo ipitie kwake..

Sasa kama yeye ni kama mbwa mlinzi tu, hawezi kufanya lolote, (kwani tunajuwa Lissu taarifa hizi kazipata kupitia kwa nani?); pengine huo ndio mchango wake huyoBwana Jela.
 
Kweli kuna mtu anapenda kukaa rumande na wafungwa waliohukumiwq kunyongwa??
Akili yako ni ya kitoto sana, kama hata huwezi kujuwa kuwa Tundu Lissu huyo huyo alishapigwa risasi zaidi ya 16 mwilini mwake.
Au bado huelewi?

Watu wa aina yako, mnaoonekana kuwa na akili ya kutosha kuelewa, lakini bado mnajifanya hamuelewi chochote....

Ninachoweza kusema ni kuwa, mtu unapofikia hatua ya kushangilia waTanzania wenzako kuuliwa kwa sababu unadai wamehatarisha ki'fremu' chako hapo mtaani, na kusahau kwamba aliyesababisha hali hiyo ni Samia Suluhu Hassan unayemwabudu kwa kukutupia vimifupa vya masalia ya mezani kwake; utu wako upo wapi kama wewe siyo bidhaa tu ya kununuliwa sokoni, kama zilivyo bidhaa nyingine zozote.
 
Kwa imani yangu ya kikristo, Mungu ana makusudi yake na Lissu.
Kumbukeni magumu aliyopitia.
Natoa rai kwa yeyote atakayehusika kwenye kujaribu kumua Lissu, atakufa yeye kabla ya jaribio hilo.
Na itakuwa hivyo kwa jina la YESU ALIE HAI.
AMINA.
 
Kwanza Lissu hana Faida yoyote ile Kwa Taifa letu na hakuna mwenye habari naye
Lakini paliitishwa poll hapa, kati ya samia na Lissu nani ana faida kwa taifa hili, samia alipata kura nne kati ya mia, huku mheshimiwa LISSU akijizolea kura 96, na hizo zilikuwa ni kura za wazi, ambazo haziwekwi mikono na nec=ccm, hebu na wewe jaribu hata kuhoji watu wa mtaani kwako halafu ulete majibu hapa!
 
Kwa imani yangu ya kikristo, Mungu ana makusudi yake na Lissu.
Kumbukeni magumu aliyopitia.
Natoa rai kwa yeyote atakayehusika kwenye kujaribu kumua Lissu, atakufa yeye kabla ya jaribio hilo.
Na itakuwa hivyo kwa jina la YESU ALIE HAI.
AMINA.
Amina🙏🙏

Ila Jina lako Samiaagain2025 inatia mashaka uthabiti wa maneno yako haya...

Huwezi kuwa unasema unamchukia shetani na mambo yake yote lakini mgongoni na kwenye paji la uso wake umejipachika Jina la "Mimi ni mwana wa shetani🤔🤔🤔...!!"
 
Kama una uchungu sana na Lissu basi nenda ukakae naye gerezani
Nimekuuliza hivi👇👇

.....na kwamba wewe mwanaume mwongo, mnafiki na mtenda maovu na mteteaji wa uovu na maovu ndiye una faida?

.....au Idd Amin Mama Bi Kizimkazi ndiye ana faida
.?
 
Sasa hii taarifa katoa Lisu, au ni masimulizi yako? Kama, katoa yeye, harafu mwisho aseme Free Lisu!!! It doesn't make sense,
Maisha ya Lisu hayajawahi kuwa salama tangu lile jambazi la kisukuma liingie ikulu(thanks Corona kwa kutuondolea kimeo),
 
Wazee wa kuttend
 
Unaongea kama naibu mungu au nabii na mchungaji wa chadema?

Toka hapa na ujinga wako
Ulipaswa usitishe kauli za huyo mwehu aliyepo ukonga aliyekuwa anandaa uhaini na mapinduzi kwa kauli zake za kukinukisha!

Toa hapa mikwala yako ya kishehe hapa.
Lissu ili mumweze ni kutumia hizo policcm na sio hoja.
 
Afe tu!! Sisi sote tutakufa. Atangulie tutamkuta huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…