From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

Idadi kubwa ya vifo Tanzania
Inatokana na Kansa, bodaboda na Ccm
 
kuna member humu anajiita Gilbert A Massawe anajisifia huo mpango wa kumuua Tindu Lisu. Tena anajigamba kabisa kuwa wauaji wamefikia 80% ya lengo lao. Amefikia hadi hatua anasema Heche naye atauwawa tu.
 
Hakuna mtu mwenye kutaka kuchafua mikono yake kwa kuharibu takataka.
 
kuna member humu anajiita Gilbert A Massawe anajisifia huo mpango wa kumuua Tindu Lisu. Tena anajigamba kabisa kuwa wauaji wamefikia 80% ya lengo lao. Amefikia hadi hatua anasema Heche naye atauwawa tu.
andika andiko kabisa.

maana mnasomaga maandiko yangu kwa kutumia mkalio.


Tag hayo maandiko wewe panya
 
Ninaposema wewe ni mtu duni sana sikosei hata kidogo.
Broo, usiwajibu mahayawani walioshiba damu za Watanganyika.

Anafurahia kuuwa kama kufunga goli la mpira kwa timu pinzani., kumbe anaacha yatima na wajane na wazazi.
 

Na hakika Mungu Mkuu, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu uliyefunuliwa kwetu na Bwana wetu Yesu Kristo, yeyote apangaye uovu dhidi ya Tundu Lisu na dhidi ya awaye mwingine yeyote anayepinga dhuluma, basi uovu huo aupangaye, ukamrudie mwenyewe mara tatu zaidi.
Tunakushukuru Mungu wetu uliyeamua kutuletea Tumdu Lisu, mtu ambaye yupo tayari kuteseka kwaajili ya haki ya Watanzania wote. Mungu mkuu tunaomba ukampe kila aina ya ulinzi Tundu Lisu dhidi ya waovu wake, hata wakastaajabie kushindwa kwao, na ushindi wa Lisu kwa mkono wako Mkuu. Ukapate kuonekana, yote kwa utukufu wako Mungu wetu.
 
Hawawezi kufanya hivyo, maji yalivyo shingoni wakimuua ndio watajizika kabisa.
Wakati ule (mwaka 2017) ilikuwa hivihivi...

Walianza kwa kumfanyia surveillance ya kufa mtu. Akaita media, akalalamika na kupiga kelele sana...

TanPol waliuchuna tu, na kutoa kauli kama hii uliyoitoa hii sasa...

Tukiwa hatuna hili wala lile, Paul Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili tarehe 7/9/2017 saa 7mchana katikati ya jiji la Dodoma mtaa ya AREA "D" ambao ni maalumu kwa makazi ya VIONGOZI wa ngazi ya juu serikalini k.v mawaziri, makatibu wakuu, viongozi wa Bunge nk akiwa kikosi cha assassins akafanya vitu vyake....

Huyu jamaa (Makonda), Tundu Lissu
ndiye downfall yake. Kwa kutumia madaraka yake na uchawi, bado anamwandama huyu mzee ili amuue. Swali ataweza au ndiyo anakiendea kifo chake mwenyewe badala ya kumuua jamaa..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ