Nakuambia kachachukaa hatariiiii.Na Doumbia kachachuka leoππ
Mnyama hivi ndio vitu vyake, sio mgeni kabisa, yuko kwenye uwanja wakee.Might Wanderers 6 ...
Fc 15 De agosto 6....
Simba kwani mna mpango gani huu mwaka?
Sindano + ushirikinaHadi Doumbia kawakandaa, wee huogopiiiii??
ππππ
Leo ni Doumbia tuu, Mjini kumewakaaaa!!!Kitumbua kimeingia mchanga.
Yaani goli moja limeyazima yale yote sita. π
Mtasema yoteee leoo, ππππHakika hapa hamna timu mpaka doumbia kafunga.
Mgumba kapata mimba mji wote u.ejaa mate π€£π€£π€£π€£
Uduguuu ukorofii huu sasa, ππππWanaume mnaoshangilia magoli ya mpira, mngekua na nyie mnafunga kama hayo ndani ya ndoa zenu kusingekua na shida..!!
Naam πππππ¦π¦Dumbia kama Dumbia
Sema wewe!!! ππππHii Simba ya 6 wapewe kombe lao. Mtani umejipata....sio kwa kugawa dozi huko aisee
Wengine gharama za dialysis hatuwezi, sasa itakuajee?Hii Sukari itatuuwa wakuu π€£
Mie basi hapa roho kwatuuuu!!! Mnavyoteseka km hivi.Timu imejipata aisee. Hakuna anayetamani kukutana na hicho kikosi
ππππ jamaniiiii!! Hizi sasa sifa khaaah.Doumbia ni complete striker. Namfananisha na Harry Kane ingawa Doumbia ni fundi na ana jicho la kufunga.
ππππLeo Vyura ni kutema mate tuu kwa vitete...kisa doumbia kafunga...
ππππ vilio ni endelevu huu mwaka, naiona final kabisaa.Sindano + ushirikina
Kwani uko mjini gani hapa Tz ili nikualike ujionee kwa macho yako mkuuπUongo mtupu!
Mtani mbona Kideonii. ππMtaniii umeona Doumbia katupia 2 za kideoniiii?.
Weweeee!!! πππ
Nipo ila upepo mbaya ulipitaDaah! Ulipotelea wapi Mtani?
Nakusalimu.
Pole Mtani. Upepo huo ndo ule wa kesho kutwa Oktoba 92 au ule wa sisi kuwafunga mara kadhaa mfululizo. ππNipo ila upepo mbaya ulipita
Tuteseke kisa mtani kajipata? Sina roho ya kichawi hivyoMie basi hapa roho kwatuuuu!!! Mnavyoteseka km hivi.
ππππ
Mmetisha sana. Msimu huu gari limewakaSema wewe!!! ππππ
SanaaaaMmetisha sana. Msimu huu gari limewaka