FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

 
Good for you ,ukipata kibonde kitumie.
Sasa mbona nyinyi mlishindwa kumtumia yule kibonde HILAL? Maana tunajua mmewekeza pesa nyingi kuliko wao, halafu team yao ni dhaifu tu na wachezaji wake bado wanajitafuta, ukizingatia hakuna team yoyote inayoweza kuwasumbua ukanda wa CECAFA....

IWE MVUA IWE JUA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sure sio kama kibudee kibudenga angekua anatulia ana mashuti makali mashuti ya uhakika sema ndo anapaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…