FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Israeli Kama Hawezi Mpiraa awe anawaachia wanao weza
Nadhani tutajifunza kuwa na kikosi chenye backup za maana, assume Kapombe na Zimbwe wote wapo nje (kwa sababu zisizozuilika) kisha mbavu zishikwe na Mwenda&Gadiel aiseeh ni kisanga.

Hata hivyo tuna uhaba mkubwa sana wa fullbacks wazawa licha ya kwamba hatujawahi kabisa kupendelea wageni kwenye nafasi hizo, nadhani kwenye dirisha dogo DUCHU arudi kisha MWENDA atoke kwa mkopo. Huu muda ambao anapewa Mwenda kwenye match zenye tension hivi, angekuwa Duchu tungekuwa tunatengeza kapombe mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…