Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Tujikumbushe kidogo...Dar Simba walitangulia 2-1, Al Ahly wakachomoa, Cairo nako Simba walitangulia 1-0 Al Ahly wakachomoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watakupiga majini yameondoka leo wamebaki wao
Mayele kagoma kurudisha majini.Yanga wamezidiwa kila kitu, mpira uishe
Wanakuangusha ili wakuchape naoYanga wanatuangusha
Timu changa iliyo kukanda 5Yanga wakivuka nusu ya uwanja, hawajui wafanye nini. Bado ni team changa sana lichq ya mbwembwe nyingi midomoni
Ukubwa hauji kwa kamechi kamoja.Amimi ashakuwa nkubwa aenda funga Ali Ali...!
Kiko wapi?
FT AHL 1 - 0 YNG
HongeraNdoivo 💚💚💪!
Mpambane kesho msituletee aibuMara ya mwisho matokeo ya Simba hapo yalikuwa 1-1
Bado wachanga sana.Yani eti hawa ndio wanamtaka Mamelodi Sundowns, kuna Watu wanapenda kujitafutia fedheha kwa lazima, yani fedheha inakukwepa ila wewe unaikimbilia [emoji23][emoji23]
Simbaa iliongoza kundi mbele ya huyu Al Ahly,,Ukubwa hauji kwa kamechi kamoja.
Ndio maana inawekwa mbali na Simba ikifika suala la Ranking za ubora.