FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Hii midomo ya makolo inawatiaga mikosi balaa. Hujavuka mto unaweka mdomo kwa waliovuka.

Mbumbumbu hawezi kuelevuka.
 
Safi sana Mwamposa kwa kutuondolea Majini..
images (26).jpeg
images (25).jpeg
images (24).jpeg
 
Nchi iko kwenye maombolezo halafu hawa viumbe wanatuongezea aibu juu yake
 
Yanga hamna forward-line halafu wako defensive minded.
 
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘[emoji617]

[emoji471] #CAFCL
[emoji460]️ Al Ahly FC[emoji739]Young Africans SC
[emoji414] 01.03.2024
[emoji909] Cairo International
[emoji797] 6PM[emoji1093] 7PM[emoji1241]

TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko

Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC

View attachment 2921581
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Ahly FC
View attachment 2921608
Mpira umeanza

Dakika ya 5
0-0

Dakika ya 10
0-0

Dakika ya 38
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 40
0-0

Dakika ya 41
Pacomeeee anakosa goli la wazi

Dakika ya 45 +3
Halftime


View attachment 2921725
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 46
El Shahat goal Al ahly wanapata goli hapa

Dakika ya 54
Al ahly 1-0 Yanga SC 0

Dakika ya 63
Al ahly 1-0Yanga Sc

Dakika ya 71
Yanga SC wanafanya mabadiliko anatoka lomalisa anaingia kibabage na anatoka aucho anaingia sureboy

Dakika ya 79
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 87
Al ahly 1-0 Yanga SC

Dakika ya 90+6View attachment 2921769
game ilikuwa nzuri na tinawapongeza wachezaji wetu
 
Back
Top Bottom