FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

U
Ukubwa wa timu sio kumfunga fulani au kumsumbua fulani bali kuvuka hatua ya mbele zaidi. Yanga itahesabika ni wakubwa kama itacheza fainali au nusu fainali.
lla wakati ule Simba Sc inafika robo fainali huku nyinyi mkitolewa hatua za awali kila mara, hicho hakikuwa kigezo cha kuitambua Simba Sc kama team kubwa sio?
 
Kipindi cha corona timu za waarabu zilikua unga,ongoza kundi sasa hivi pa1 na maspray yenu pale taifa kama mna ubavu
Kwamba Corona ilikuwa kwa waarabu tu sio? Hii juzi hapa tulipotoka 1-1 nyumbani kwa Ahly tena yeye ndo akiwa msawazishaji, kulikuwa na Corona pia?

Wewe na team yako mbona hamkusaidiwa na hiyo Corona?
 
U

lla wakati ule Simba Sc inafika robo fainali huku nyinyi mkitolewa hatua za awali kila mara, hicho hakikuwa kigezo cha kuitambua Simba Sc kama team kubwa sio?
Kama robo fainali ndiyo mwisho wenu basi hamna ukubwa, ukubwa watapewa wanafika fainali na wanaobeba makombe.
 
Kwamba Corona ilikuwa kwa waarabu tu sio? Hii juzi hapa tulipotoka 1-1 nyumbani kwa Ahly tena yeye ndo akiwa msawazishaji, kulikuwa na Corona pia?

Wewe na team yako mbona hamkusaidiwa na hiyo Corona?
Kwahiyo baada ya hapo Al Ahly akatoka nyie mkafuzu Kwenye mechi tuliona wote Al Ahly akiamua kutafuta goli hata hachelewi analipata. Mechi ya Dar mlivyoongoza tu, haikuchukua hata dakika 10 waka level. Huku Misri pia baada ya kupata goli nako hivyo hivyo hamjadumu nalo hata kidogo wakapata goli.
 
Acha ujinga ile mechi hatukuwa na presha nayo tulienda kufanya mazoezi
Visingizio vya kijinga. Uongozi wa Uto na Manager Gamondi walisema nini kabla ya mechi? Au wewe ndiye uliyeamua kuifanyisha mazoezi timu na siyo kutafuta ushindi ili muongoze kundi lenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…