PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Kama nyinyi SIMBA tuliwafunga 5-1, iweje Ahly? Sema zinakutana timu bingwa kweli sio nyinyi mulioshika nafasi za pili kwenye ligi zenu. Alafu kumbuka hujafuzu"Al Ahly ni kibonde wetu tutampiga mkono wa nyani.." alisikika mlevi mmoja akibwabwaja baada ya kumaliza chupa ya 7 ya banana wine huku Kibororoni ππ
Tukaze buti best, bado hatujalipa deni la mnyama, alitupigaga 6 - 0 hatujawahi zirudisha, labda tujitahidi mwezi huu tulipe hilo deni kama tunao mtaji wa kutosha ππKama nyinyi SIMBA tuliwafunga 5-1
Mazuzu hamjui kuwa MO na GSM ni pipa na mfuniko.Yanga timu ya wananchi, Simba ina mwenyewe
Watunza lisiti muje kwa kipande hii.Yanga atapigwa 3:0.
Tusichanganye viwango na mihemko.
Tuna ongelea current issues wewe unaleta mambo ya zama za giza.Tukaze buti best, bado hatujalipa deni la mnyama, alitupigaga 6 - 0 hatujawahi zirudisha, labda tujitahidi mwezi huu tulipe hilo deni kama tunao mtaji wa kutosha ππ
Wana SIMBA wote mali ya MO. Hata wewe Kambi ya Fisi ni mali ya MO?Mazuzu hamjui kuwa MO na GSM ni pipa na mfuniko.
Mnaimba taarabu na kushangilia "Simba imeuzwa ... ππ
Mnaimba taarabu na kucheza ngoma ya mdundiko "........ Yanga ni timu ya wananchi.... ππ
Wananchi mna hela? Mngekuwa na hela mngemiliki uwanja wenu na kituo cha TV kama walivyo wauza ukwaju wa Chamazi.
Mnasubiri "NDIYO" ya GSM kujenga uwanja ππππ
..... Karaghabaho.
Current issues huwa zinanoga sana tunapopitia mafaili ya zama za kale.Tuna ongelea current issues
Hayo ni madhara ya kumilikiwa na mtu, tena mbaya zaidi umilikiwe na mwanaume mwenzio.Current issues huwa zinanoga sana tunapopitia mafaili ya zama za kale.
Hilo suala la kulipa deni hatuwezi kulikwepa, dawa ya deni ni kulipa.
Tujitahidi tu next match tulipe deni.
Hizo tambo za kuwapiga 5-1 hazitatufanya tufutiwe deni la kupigwa 6-0.
Acha tujaribu mwaka huu tulipe deni.
#daimambelenyumamwiko.
Kwa hapo bongo ni saa 1 kamili usiku.Mechi saa ngapi
Na ndivyo ilivyo kwa wana Uto wote ni mali ya GSM, hakuna la ajabu maana wananchi kwa kawaida ni njaa kali, full lia lia hamuwezi kumkwepa GSM.Wana SIMBA wote mali ya MO. Hata wewe Kambi ya Fisi ni mali ya MO?
Kamilikiwa rais wako sembuse na wewe?Hayo ni madhara ya kumilikiwa na mtu, tena mbaya zaidi umilikiwe na mwanaume mwenzio.