Mbona hamjifichi......Nan kakuambia tulio pata furaha ni mashabiki wa simba?
Sawa kaka 😂Siwajui watu hao
Hahaha ninacho jua mimi Al ahly imeipasua Barcelona ya buza basiiMbona hamjifichi......
Mpira ni mchezo wa wazi na ukikosea unaadhibiwa. Al Ahly ni timu kubwa Africa nadhani inashika nafasi ya kwanza. Hatuwezi kuwabeza na wamepata matokeo kwa ubora walionao
Duh!! Mbona mimi nilijua lazima tufungwe tu. Al Ahly ni timu nzuri kuwafunga inahitaji kujipanga kikamilifu. Hatuna wachezaji wa kuamua matokeo. Tulionao wanatengeneza nafasi ila kuzitumia ndo shida.Mke wangu Kalia sana aisee mipira hii
Coca hii ya Leo ni ya mnada wa nyanya bei ya jioni🤣🤣🤣,Tena Mnada wa kariakoo pale chini ya soko kuu, sio kule majengo.
Kariakoo jezi hadi elf 5, ifue sasa inabaki dekio.
Ndo Yanga hii ya leo. 😂😂😂😂😂😂😂
Sio kweli kuwa ulijua, tutajuaje ulijua sasaDuh!! Mbona mimi nilijua lazima tufungwe tu. Al Ahly ni timu nzuri kuwafunga inahitaji kujipanga kikamilifu. Hatuna wachezaji wa kuamua matokeo. Tulionao wanatengeneza nafasi ila kuzitumia ndo shida.
Mashindano makubwa kama haya ukipata nafasi mbili inatakiwa uzitumie
Sawa ila zimechezwa dkk 45. 45 za mwisho ni Aman stadium. Tukifungwa home ndo nitajua hatuna timuHahaha ninacho jua mimi Al ahly imeipasua Barcelona ya buza basii
Ndo nakwambia ili ujueSio kweli kuwa ulijua, tutajuaje ulijua sasa
Unafurukuta kitu gani wakati mmepigwa aseeSawa ila zimechezwa dkk 45. 45 za mwisho ni Aman stadium. Tukifungwa home ndo nitajua hatuna timu
Ni matokeo ya mpira. Asiyekubali kushindwa sio mshindaniUnafurukuta kitu gani wakati mmepigwa asee
Nitajuaje ni kweli ulijua kabla na sio umesema baada ya kugongwa?Ndo nakwambia ili ujue
Kesho mda kama huu nitakutafutaCoca hii ya Leo ni ya mnada wa nyanya bei ya jioni🤣🤣🤣,
Sijui kwanini Leo Nina furaha sana🙏
Ningekua sijui nisingekuwa hapa. Ningejificha ili kupoza machungu ya watani. Mvua imenyesha tumejua panapovuja wala haina shida. Hatujafeli ila tumejifunza na soka ni kujifunza kila sikuNitajuaje ni kweli ulijua kabla na sio umesema baada ya kugongwa?
Bado sio sababu yenye mashiko, kocha na wachezaji wakitegemea ushindi wewe ukajua vipi hawatashinda?Ningekua sijui nisingekuwa hapa. Ningejificha ili kupoza machungu ya watani. Mvua imenyesha tumejua panapovuja wala haina shida. Hatujafeli ila tumejifunza na soka ni kujifunza kila siku
Aaah kesho tunaua🤣🤣🤣,,Kesho mda kama huu nitakutafuta
😀😃😃 JamaniAaah kesho tunaua🤣🤣🤣,,
Aaah bhana mie sijali Wala Nini,,kikubwa Leo Barcelona wa kichanga chui wamepigwa🙏
Wape spana📌Sio kweli kuwa ulijua, tutajuaje ulijua sasa