FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Sofascore wana utani wa ngumi na Utopolo hilo jina la mfungaji[emoji23][emoji23]
 
Wanaleta siasa kwenye mpira 🚮🚮🚮
 
huu uwanja wao mbona mdogo sana hapa kwa mkapa si unaingia mara mbili huu
 
Reactions: Lee
Wanamiliki mpira ila hawapress ili was hoot golini
Hapo wameingia kwenye pattern za waarabu

Swala la Yanga ku press ni mbinu ya mpinxani na ndio maana wanakuwa hawana madhara hata wakimiliki mpira

Mpaka halftime naamini watakuwa wame press pad zote mpaka vidole viote sugu na hata on target wanaweza wasipate wakifanya masihara
 
Halafu Admin wa Al Hilal, yeye wala hataki kuandika Yanga Africans..!

Yeye amendika Al Hilal 1-0 Shababu Tanzania.

Akiwa na maana kwamba (Vijana wa Tanzania)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…