FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Hapo kote Yanga anapita? Hakuna tena penalty?
yap,wakitoka droo yoyote ya magoli mfano 2-2 au zaidi watakua wanalingana magoli.

Ila Uto anapita kwa faida ya kupata magoli mengi akiwa kwa mpinzani wake.

wangetoka 0-0 Al hilaly angepita kwakua ana faida ya goli alilopata kwa Nkapa.ingawa kwa Mkapa walilingana magoli walitoka 1-1 ila Al hilal anakua na faida ya kupata goli akiwa nyumbani kwa Uto.
 
leo ni J2 lakini huko n mwendo wa Kanzu na barakashea tuu
 
Okey nimekupata mkuu
 
ma.ma.e nabi na azizi ki wasirudi dar wabaki huko huko somalia sjui sudan.. raisi wa gsm hatukutaki umejaza chawa kibao ofisini ..timu yetu inaninvest kwenye media badala ya kucheza mpira wa malengo. foolish.. kuharibiana siku tu..
Tulia uncle 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…