Sisi Simba sio rahisi kupita robo fainali.
Sisi ni wahapa hapa.
 
VAR ikiletwa Bongo kuna vilabu bingwa uchwara vitashuka daraja.
 
Wakija taifa hapo wanakuja na magodoro, mablanketi pamoja na mito,mwendo wa kujiangusha na kulala.
Amin kwamba hawa mechi ya taifa ili kuwaondoa inabidi tumalize mechi kipindi cha kwanza ubaya sasa wachezaji wetu hawana maamuzi ya utulivu langoni ubinafsi na papara nyingi.
 
MWAKAROBOOOO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakati MPANZU alikuwa machachar, lakini hakuwa na madhara...Ningekuwa FADLU leo ningerisk na CHACHAMBI baada ya kuona MPANZU ...Yupo much infividual
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…