KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,985
- 3,254
Tulia dawa ipenyezwe.Kuna mtangazaji wa kingamuzi pendwa hapa tz kudadadeki huyu damu yake ni ya kijani
Tulia dawa ipenyezwe.Kuna mtangazaji wa kingamuzi pendwa hapa tz kudadadeki huyu damu yake ni ya kijani
Sisi ni timu dhaifu sanaMpira uishe tu. Al masry sina imani nao. Hili goli moja angalau lidumu ili kuleta utulivu huku Tanzania.
Hahahaa. Lol.Daaah mtani, kweli mdomo huumba
Una bao mbili nakugonga plus moja la zaida...
Wamekua hawana maamuzi ya kiproo wakifika mbele wanakata viunoWachezaji WA Simba na kocha wao ni wapumbavu amini nakwambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goal La pili...
Al Masry 2 SIMBA 0
Kesi ishakuwa ngumu huku
Mkuu sisi walamba asali tunakusalimia mzima ?Mood yangu kwasasaView attachment 3291426
Mwakarobo, wazee wa kufa kiumeTukutanee mwakaniii, huu ni ujinga wa karne.
Yaan simba aliye iroga atafutwe, robo 5 unaishia hapo hapo. 😢😢😢