cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Utegemee penalty kwa ardhi ya waarabu? Wala usitegemee hilo kamwee, ni bora wachezaji wapambane wapate la kawaida.Dah hii sasa too much africa....penalty jamani ata var hawataki
Utegemee penalty kwa ardhi ya waarabu? Wala usitegemee hilo kamwee, ni bora wachezaji wapambane wapate la kawaida.Dah hii sasa too much africa....penalty jamani ata var hawataki
Ngapi ngapi mkuu huko Cairo sisi wa Kaliua tunauliza ?Waarab pumzi imekata wameanza kucheza haram football
Hakuna SubMpira uishe tu. Al masry sina imani nao. Hili goli moja angalau lidumu ili kuleta utulivu huku Tanzania.
Ah uhuninhuu africa wangese sana jamani kha...wanasimba wamepambana hivi ata kwenda kuona hawataki. No this not fairUtegemee penalty kwa ardhi ya waarabu? Wala usitegemee hilo kamwee, ni bora wachezaji wapambane wapate la kawaida.
Hamna timu hapa simba ashindwe mwenyewe kwenda semi finalMpira uishe tu. Al masry sina imani nao. Hili goli moja angalau lidumu ili kuleta utulivu huku Tanzania.
Ndugu mpira si rahisi kihivyo, hawachezi peke yao uwanjani. Jifunze kuappriciate jitihada za wenzako na si kuweka ego yako mbele.Waache kujipigia hovyo hii inakera sasa.
Waliopo vyumbani wameshajiridhisha inatoshaAh uhuninhuu africa wangese sana jamani kha...wanasimba wamepambana hivi ata kwenda kuona hawataki. No this not fair
Huku kwenye show za wakubwa, mpira unapigwa mwingiNgapi ngapi mkuu huko Cairo sisi wa Kaliua tunauliza ?
Robo robo fc pumzi imekata. Oooh tutaenda nusu fainali. Nusu fainali my foot.Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium
Kaa karibu kwa Live updates
Vikosi vya timu zote (Team news)
Mechi imeanza
4' Mashambulizi kwa kila timu yanaendelea
7' Salah amekosa nafasi ya kufunga goli
8' Mpanzu anacheza faulo
11' Hakuna aliyeona lango la mwenzake
13' Ahoua anachezewa faulo
14' Kona - Simba anapiga Mpanzu
15 Goooal - Abderrahim Deghmoum (Al Masry) anapiga shuti kwa mguu wa kushoto kutoka nje ya boksi hadi kona ya chini kulia. Akipewa pasi na Youssef El Gohary.
20' Goal Kick - Mpira wa Kichwa wa Kibu D unatoka nje
23' Kona - Al Masry wanapiga
27' Ateba - Anapoteza nafasi
29' Simba warusha mpira
30' Mpanzu anachezewa faulo nje ya box
31' Ahoua anababatiza ukuta wa Al Masry
39' Kona - Simba wanapiga
43' Kona - Simba wanapiga
Dakika 3 zimeongezwa
HT: Al Masry SC 1-0 Simba SC
Timu zimerudi uwanjani, tayari kwa dakika 45 za kipindi cha pili
Kipindi cha pili kimeanza
Al Masry SC 1-0 Simba SC
46' Faulo - Al Masry wananufaika
48' Mpanzu anajaribu shuti la mbali
50' Kadi za njano 2 zinato kwa Al Masry
55' Simba anatuma mashambulizi kutafuta bao la kusawazisha
58' Kona ya Mpanzu inatua mikononi mwa kipa wa Al Masry
60' Salah anapoteza nafasi ndani ya box la Simba
61' Mechi inaendelea baada ya kusimama kutokana na kuumia Abderrahim Deghmoum (Al Masry)
63' Mabadiliko - Al Masry
64' Offside, Al Masry. Karim Bambo
68' Faulo - Simba wanapiga
Unawajua waarabu? Mbna game Itaharibika hapo, na Refa mwenyewe kashaonesha yuko upande upi,Ah uhuninhuu africa wangese sana jamani kha...wanasimba wamepambana hivi ata kwenda kuona hawataki. No this not fair
Uhuni bwanaWaliopo vyumbani wameshajiridhisha inatosha
Africa ni nyoko aiseeAh uhuninhuu africa wangese sana jamani kha...wanasimba wamepambana hivi ata kwenda kuona hawataki. No this not fair
Sawa ila aimba bingwa haya mashindanoUnawajua waarabu? Mbna game Itaharibika hapo, na Refa mwenyewe kashaonesha yuko upande upi,
Watafute bao la kawaida.