Baki hapa hapa
Pacome ni nani?Imagine pisition KIBU na ATEBA pangekuwa na watu wa ku drive like PACOME...
🤣🤣🤣KIKO WAPI? 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Mpanzu ni tapeli sana. Ameisoma Simba kuwa huwa inapenda mchezaji anayekimbiakimbia hata kama hafungi wao watamfurahia tu. Na katika hili amefanikiwa sana kutukonga sisi wanasimba
Mamaeee wewe uko nyumbani uruhusu VAR hapo? Ni simu moja tu refa peta hakuna penalty. Yalitukuta kwa mamelod tukanyimwa goliVAR ya Afrika kmmk🤣🤣
Halafu Ateba anafocus kwenye penalty badala yakufunga.Yaan Simba wanacheza, ila kufunga hawawezi, sasa ndo nn? Wadevele hivyo wategemee kushinda huku nyumbani, baadae washangazwe.
Afu sasa wana kazi ya kushambulia, wanajisahau kuzuia, wakipigwa counter attack bas tunalia tena.
WamelogaTukio ni la penati lakini alikuwa kwenye offside position