GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Tukifungwa zaidi ya Goli Moja jueni tumeshatoka.
Toa neno kiasi weka sanaMnajitahidi kiasi.
Huyo jamaa ni chura og 😂😂Aiseeeee jamaa hadi kufuta comment yake ya uraya. 😃😄
Tabora kunanoga sanaHuku shirikisho hakunogi, hakuna kususia mechi, hakuna bodi ya ligi kututetea. Bora tufungwe mechi hii wakija kwa mkapa tutoe suluhu turudi ze nbc.. Sisi ndio Simbaa...!!
Hapo ndio mnaharibuMpanzu mmoja ni sawa na Pacome, Aziz Ki, Mzize pamoja na Ikangalombo kama kifungashio
My love umenitenga😣😣😣KIKO WAPI? 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸