Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Msianze kusema hawa ni waarabu koko. Tunawatunzia risit zenu
Niko Misri...Dua zenu wataniBina ndo unaongea na simu ama? 😅
Kicheko team kama utopwinyo kuishia makundiKichekesho timu kama hii sijui ilivuka vipi makundi shirikisho
Itakua wambeaNasikia kelele huko 😂 vp tena wakuu
Ban inakuhusuGOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
KESHO TUTASIKIA ....HATUMTAKI MANGUNGU
Bravo al masry
Shida kibu dennis anakaa na mipira. Hovyo kabisaLeo sijui kwa nin hamtumii Kapombe kule kushambulia.
Unaona peke yako mkuu. Kweli Rage ajengewe Mnara.Boli limetembea haswa….cheers