FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
😂😂😂😂😃😂ngunguzi fc
 
GOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLL

KESHO TUTASIKIA ....HATUMTAKI MANGUNGU
 
Hawaa waarabu wamejaa kwenye mfumo tusipowapiga kama ngoma hapa kwao hata kwa Mkapa tunawapiga sina wasiwasi kabisa
 
Ila ukweli Al masry ni WA kawaida sana Simba ikiweza kuwazuia kwa aggr ndogo basi kwa Mkapa hata 5 wanawala Hawa
Simba to the semi final
 
Hivi na huko uraya kuna wachezaji wazito kama ateba
 
Hivi kibu anacheza namba ngapi? Akumbushwe tafadhari😆😆😆
 
Kipindi cha pili Muaeabu anaongeza goli 2 Safari ya Robo inaiahia hapo

Siba Guvu Moya
 
Makolo mapumbavuu sana,Asa vichezaji ganii hivyoo vya kiarabu Havina nyamaa viwalee jichoo.
 
Back
Top Bottom