Pole nimekuwa busy sana. Pia ulipotea. Tuko pamoja love 🥰My love umenitenga😣😣😣
Kabisa.Ban inakuhusu
Kwa miki.bio ya Ateba, Kibu na Kagoma isiyokuwa na mpangilio tutapigwa hata 3.Tukifungwa zaidi ya Goli Moja jueni tumeshatoka.
Kibu anafanya kazi nzuri ila aache ubinfsiWaache kujipigia hovyo hii inakera sasa.
Tutatoboa kweli?Tukifungwa zaidi ya Goli Moja jueni tumeshatoka.
Mpanzu ni tapeli sana. Ameisoma Simba kuwa huwa inapenda mchezaji anayekimbiakimbia hata kama hafungi wao watamfurahia tu. Na katika hili amefanikiwa sana kutukonga sisi wanasimbaMpanzu mmoja ni sawa na Pacome, Aziz Ki, Mzize pamoja na Ikangalombo kama kifungashio