vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Kulikuwa na offside mzeeUhuni bwana
Kulikuwa na offside mzeeUhuni bwana
Simba anakiwa bingwa hii michuanoMimi ni Simba ila siwaelewi wanacheza kitu gani.
Al Masry nao hawajitambui wanataka nini kwenye jii game
Hivyo kabisa.
Nimeshakata matumaini, hata itokee tuvuke, hatuwezi mtoa Zamalek. Aaaahila aimba bingwa haya mashindano
Yaaan acha tu, tumeshindwa wenyewe🤣
🤣🤣🤣 ujue unaanza kuniharibu Mtani hizi picha kuna baadhi huwa nazichukua ujue. 😅😅
Itakuwa timu zote mbovuSawa ila aimba bingwa haya mashindano
Mkikaza Tz mnawatoa vizuri tu.Yaaan acha tu, tumeshindwa wenyewe🤣
Weee acha kutukatisha tamaa...simba bingwaNimeshakata matumaini, hata itokee tuvuke, hatuwezi mtoa Zamalek. Aaaah
Kwani wee unaona timu ya maanaItakuwa timu zote mbovu
Maendeleo hayana chama mtani🤣🤣🤣🤣🤣 ujue unaanza kuniharibu Mtani hizi picha kuna baadhi huwa nazichukua ujue. 😅😅
Hawa wanawatolewa...waarabu weupeee. Muhimu simba wacheze na refa wapate goli la mkonoMkikaza Tz mnawatoa vizuri tu.