ablekats619
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 139
- 210
Kapombeee weee
Huyu mwarabu hamna kitu aisee.Yaaan acha tu, tumeshindwa wenyewe🤣
Tatizo ni muda sasaMkikaza Tz mnawatoa vizuri tu.
Matushi ya nini mremboQumamaqee huu ni usengee, sasa ndo nini hikii?
Mtani nasemea kwa Mkapa.Tatizo ni muda sasa
Yaan jinsi navyoumia hapa, hata sina hamu ya kula, njaa ilikua inauma, ila imeisha ghafla. LolWeee acha kutukatisha tamaa...simba bingwa
Tutamnyoa mapema sana kwa mkapaHuyu mwarabu hamna kitu aisee.
Mbumbumbu katika Moja na mbili 😅😀Tutamnyoa mapema sana kwa mkapa
Uko sahihi mtaniMtani nasemea kwa Mkapa.