Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
ππππππππππππNini kimetokea
Hamna kituTobaaaaaaaaah, vipi VAR itasemaje?
Kombe la akina mama nalo simba wanatolewa jasho namna hii?Ubaya Ubwege π
Kocha amemuacha sana Ateba na hakuwa na kituInaumiza hadi Co poaa, simba sijui imelogwa na nani? Na dawa kafukia wapi.
Khaaaah.
ππππππππππππInaumiza hadi Co poaa, simba sijui imelogwa na nani? Na dawa kafukia wapi.
Khaaaah.
Mbumbumbu wanabakwa mtumishi wa MunguππππππππππππNini kimetokea
Labda wampulizie dawa ππKa Nkapa hatatoka huyu π€£π€£π€£π€£π€£ππππ
Mkuu mzima ?
5imba wanatiwa mimba
Wamekatwa πππππ
Full time