Tumetulia mzee mbili Siyo mlima kiviile tutamchinja hata Mzee mpiliTulia dawa ipenyezwe.
Sioni km Simba inaenda Semi finals.Hamna kitu
Nimapuuzi kupita maelezo walitakiwa wote kumzonga refa Hadi aangalie varMachezaji yetu yaani yanashindwa kushinikiza penati yetu halali kabisa. Yanashika viuno tu.Pumbavu kabisa
Acha kabisaHamu yote ya robo imekata. 😅😅😅
Menyu imekamilika
Tukutane nyumbaniSioni km Simba inaenda Semi finals.
Hamna muunganiko kati ya Mpanzu,Ahoua na Ateba,kama Ateba hapati mipira kabisa,l.Amin kwamba hawa mechi ya taifa ili kuwaondoa inabidi tumalize mechi kipindi cha kwanza ubaya sasa wachezaji wetu hawana maamuzi ya utulivu langoni ubinafsi na papara nyingi.
Mlima mrefu sana yaani hapo unatakiwa uwe very accurate kwenye kukaba na kushambulia.Amin kwamba hawa mechi ya taifa ili kuwaondoa inabidi tumalize mechi kipindi cha kwanza ubaya sasa wachezaji wetu hawana maamuzi ya utulivu langoni ubinafsi na papara nyingi.
Bado bao 1 pakiti ya kondom iishe🤣🤣🤣🤭🤭
Poor 5imba
🤣Machezaji yetu yaani yanashindwa kushinikiza penati yetu halali kabisa. Yanashika viuno tu.Pumbavu kabisa
😂 😂 😂 Penati mnafikiri marefa wenu wa kibonho?Machezaji yetu yaani yanashindwa kushinikiza penati yetu halali kabisa. Yanashika viuno tu.Pumbavu kabisa