Ile ni Club Bingwa Mzee, huwezi kulinganisha wale Waarabu na Hawa Wabovu kabisa...!Vp wale waarabu mlioshindwa kuwafunga kwa mkapa??
Kwa mkapa mtashinda goli 5Nilisha sema, hawa waarabu ni wazuri kwa counter attacks, na mabao 2 yalipatikana kihivyo, japo 1 lilikataliwa.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃Jeshi lililoizuia Al Masry isipate goli la tatu.View attachment 3291437
Si ilirudiwa ikaonekana Ateba alikuwa kwenye eneo la kuotea. Hivyo haipi uhalali wa penatiMachezaji yetu yaani yanashindwa kushinikiza penati yetu halali kabisa. Yanashika viuno tu.Pumbavu kabisa
Klabu bingwa kutolewa rukhsa?Ile ni Club Bingwa Mzee, huwezi kulinganisha wale Waarabu na Hawa Wabovu kabisa...!
Coz Hawa hata wakiwatoa hawatoboi hatua inayofata.
Wanawezaje kuwafunga 2 Team mbovu inacheza bila plan yoyote.
Shida ni unatafuta usichokuwa nacho.Machezaji yetu yaani yanashindwa kushinikiza penati yetu halali kabisa. Yanashika viuno tu.Pumbavu kabisa
Mfano mpanzu anatoa pasi wanapaisha,kocha amewaamini watu wanashindwa kupeleka pasi kwa wakati wanapiiga shuti kuelekea kwa adui,huyo mpanzu kafanya kazi Kibu anarudisha nyuma huenda wamekula mgaoMichezaji ya simba uchoyo utawaua wajinga hawa
Japo inaumiza, ila nimecheka hadi watu wananishangaa hapa, LolSimba akifika hatua ya mtoano anakuwa msenge msenge. kumnina zao
Wanahitaji goli moja tu kwa Mkapa kuimaliza mechi wala si lazima washinde, na hizi hesabu waarabu wanazijuwa vizuri.Wakija taifa hapo wanakuja na magodoro, mablanketi pamoja na mito,mwendo wa kujiangusha na kulala.
Sasa kwa nini Yanga haichezi?Hawa wagekua wanacheza na Yanga wangepigwa kama Ngoma.
😀😀😀😀😃😃😃😃Sioni km Simba inaenda Semi finals.
Hallleeeluuuiiijahhh🤍🤍🤍🤍🤍🕺🕺💪Wamekatwa 😃😀😀😀😀
Bila futa la minara😂😅😀Ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaa jua Kavu imepenya🤍🤍🤍🤍💪🕺
Na iwe hivyo,Kwa mkapa mtashinda goli 5
Wakati huo timu yako ya Mama Jusi ilikua inacheza na nani kwenye michuano ya kimataifaNyie maduduna.. Mabingwa wanakaza makalio pamoja na kulimwa redcard. Mechi za leo nyie ndo mmefungwa goli nyingi shenzi kabisaView attachment 3291438