FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
MI Nawaambiaga haya mashindano Timu za Tanzania zinaonewagwa.. Kwanini VAR haikuangaliwa kipindi Yanga na mamelod na safari hii Simba nao wamekutana nacho
 
Sisi tumefika Fainali huko ulipo, Kwa namna mlivyocheza Leo, mwisho wenu umefika, Mwarabu anavyojua kupoteza muda, utaona wakija Dar....!

Hamtoboi.
Wakati simba anacheza fainali ulikuwa tumboni...
 
Tukiwwqmbia simba ni timu inayobebwa na Bodi ya ligi na waamzi mnaleta midomo!!, Angalieni wachezaji wenu wameshaathirika na maamzi ya marefa wa kibongo kidogo tu wanalialia ........ Mlipokuwa mnakimbia trh 8 hamkujua km yanga ndio kipimo chenu? Mkajikuta mnacheza na Big MAN km kipimo?.
 
Simba ina kawaida mambo marahisi inayafanya magumu. Toka dkk 70 nilijua goli la 2 linakuja.

Ateba, Ahoua, Ngoma hamna kitu. Kocha anachelewa saana kufanya mabadiliko.

Ateba hajui kucheza kama striker, anakaa mbali na goli na hajui kumsoma Mpanzu akiwa anakaribia goli.
Acha malalamiko wewe.
 
Mtakapoenda Daslama,
Pale kwa "Che Mkapa"
Msiingie vyumba vya kubadilishia nguo,
Valieni hata kwenye korido..hao mabwege huwa wanapuliza dawa za uchovu kwa dressing room ya timu ngeni!..
 
Malizia kwa sauti kubwa

KWA MKAPA ????????????????

1743617555747.png
 
Msimsingizie kocha huo ndio uwezo wa wachezaji wenu.

Huyo Kibu Denis ana miaka miwili ana goli moja kwenye ligi unategemea nini kwake?
Kibu sioni km ana hadhi ya kucheza Simba, japo wengi huwa wananizonga nikisema hivyo, kibu ana nguvu na mikimbio, ila akili na ufahamu kisoda.
Afu ndo 4wadi tegemeo, nachoka hatarii.

Yaan km leo linakimbia kimbia, na kujiangusha, likitegemea refa atapiga filimbi, pumbaav.
 
Mtakapoenda Daslama,
Pale kwa "Che Mkapa"
Msiingie vyumba vya kubadilishia nguo,
Valieni hata kwenye korido..hao mabwege huwa wanapuliza dawa za uchovu kwa dressing room ya timu ngeni!..
Naona unagawa mbinu za siri
 
Kesi ishakuwa ngumu uko,
unauliza nani?
Ndugu yako Simba kayapananga uko,
Unauliza kafanya nini?
Kaingia geto la mwaraabu kinyume nyume
humwangalii mara mbili

😂😂
Mkuu matokeo NI 2 -0 .nafasi NI kubwa Sana Kwa simba kuliko marsly
 
Kibuuuuuuuuuuuuu
Dk. 95 Kibu Denis anaisawizishia Simba goli la pili kwa mkwaju mkali uliomshindwa mlinda lango.

Al Masry 2-2 Simba
 
Kibu sioni km ana hadhi ya kucheza Simba, japo wengi huwa wananizonga nikisema hivyo, kibu ana nguvu na mikimbio, ila akili na ufahamu kisoda.
Afu ndo 4wadi tegemeo, nachoka hatarii.

Yaan km leo linakimbia kimbia, na kujiangusha, likitegemea refa atapiga filimbi, pumbaav.
Ilikuwa nia aibu kumwacha Chama mwenye akili ya mpira na kumbakiza mfukuza upepo Kibu mwenye akili kisoda
 
Back
Top Bottom