Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Hakika mimi ninamkubali sana Chama, ana akili kubwa sana kuamua matikeo kimataifaMatch km ya leo, angekua Chama, kuna kitu kingepatikana, ukweli lazima niuseme, yule kiumbe alikua na uwezo wa kuamua match akitaka.
Ngoma hamna kitu, lina develeka utadhani Senge jipya mtaani, huyu mpira ushaisha, kustaafu hataki pumbaav. Inaboa hatari.