Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Wakimuamini mukwala kuna siku itawalipa. Ateba anastahili kucheza dk 60 mechi za kimataifa. Anamchosha mpanzu. Elie anajitahidi kukokota mipira lakini ateba anajificha. Ila mukwala anajua kujipositionSimba ingekuwa na strikers wenye akili ya moira ...hata 3 angeshinda .
KIBU na ATEBA hawa ni watu wa kulazimisha zaidi ....
Timu inapohitaji infividual briliants....utankutw MPANZU anacheza mwenyewe