FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
Wakati SIMBA wameikamata mechi ...
Tulihitaji akili ya FADLU sasa....
Tumechelewa kwenda na ATEBA NA KIBU hadi mwisho
Mpanzu anafanya kazi kubwaaaaaa halafu mwisho wa siku anapiga kijishuti au kupaisha tu mpira napo vipi?
 
Sasa wale utawalinganisha na hii mikebe ya ugoro mliyocheza nayo? Mnajielewa kweli nyie!
Jibu swali,wakati simba anaongoza kundi la klabu bingwa mbele ya bingwa mtetezi na kuingia robo fainali ulikuwa bado hujazaliwa......
 
Mfano mpanzu anatoa.watu wanapaisha,kocha amewaamini.watu.wanashindwa.kupeleka pasi kwa wakati wanapiiga shuti kulekea.kwa adui,huyo mpanzu kafanya.kazi Kibu anarudisha nyuma huenda wamekula mgao
Msimsingizie kocha huo ndio uwezo wa wachezaji wenu.

Huyo Kibu Denis ana miaka miwili ana goli moja kwenye ligi unategemea nini kwake?
 
Wakati huo timu yako ya Mama Jusi ilikua inacheza na nani kwenye michuano ya kimataifa
Itoshe kusema kwa NKAPA HATOKI NTU
IMG_5420.jpeg
 
Mfano mpanzu anatoa pasi wanapaisha,kocha amewaamini watu wanashindwa kupeleka pasi kwa wakati wanapiiga shuti kuelekea kwa adui,huyo mpanzu kafanya kazi Kibu anarudisha nyuma huenda wamekula mgao
Na huko hakuna cha GSM wala nini 😂😂😂
 
Simba ina kawaida mambo marahisi inayafanya magumu. Toka dkk 70 nilijua goli la 2 linakuja.

Ateba, Ahoua, Ngoma hamna kitu. Kocha anachelewa saana kufanya mabadiliko.

Ateba hajui kucheza kama striker, anakaa mbali na goli na hajui kumsoma Mpanzu akiwa anakaribia goli.
 
Back
Top Bottom