FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
Kipofu na kiziwi wamekutana but kipofu kabahatika kufunga goli 2,,waliosema hii michuano imejaa timu dhaifu awakukosea,Hawa Al masry ni sawa na Tabora united waliochangamka lakini mbumbumbu wameshindwa kupata ata goli la offside🤣🤣
 
Ivi kuna haja gani ya kusajili wachezaji wa kigeni wasio na tija ni bora sometimes kutumia wazawa tu
 
Back
Top Bottom