Unakula umeme ndio utajuwa hujui.Hivi Bongo kuna nn? Mbna hata hao professional Player sioni ushawishi wao ktk maamuzi ya ushinikizo? Mbna wenzao wanajua kutumia fursa wafaidike.
Mpanzu, Ahoua, Ateba, wanashindwa kuongoza wenzao kumshinikiza Refa? Inaboa sana.
Ntumie kwa email😂😂😂 Makoloo buuuuuuanaaaah.... Matokeo unayo au tukutumie kwq message
Fainal gani ya medal za bati allo😃😃Wakati simba anacheza fainali ulikuwa tumboni...
Match km ya leo, angekua Chama, kuna kitu kingepatikana, ukweli lazima niuseme, yule kiumbe alikua na uwezo wa kuamua match akitaka.Ilikuwa nia aibu kumwacha Chama mwenye akili ya mpira na kumbakiza mfukuza upepo Kibu mwenye akili kisoda
😀😃😃😃😃Hawa wanetu miyeyusho sanaNaona unagawa mbinu za siri
Kocha Fadlu achangamke aache kukariri bwana. Hawa hawakuwa wa kutusumbua hivi, timu ya kawaida sana hii.Acha malalamiko wewe.
😂😂😂 Ile ya @nguguzi fc au kuna nyingineNtumie kwa email
Hawa mbumbumbu wanafikri wako bongo ambako marefa huwa wanachezesha huku wamevaa jezi za simbaSi ilirudiwa ikaonekana Ateba alikuwa kwenye eneo la kuotea. Hivyo haipi uhalali wa penati
Wamekalia misumariMkuu mzima ?
Naona unalamba asali kimya kimya.
Shetani na mamamkwe wake ni vilio tu leo
Tupo na Simba yetu daima.. Bao moja linatosha kabisa