G
Wapuuzi sana, walianza kwa kuogopa al masry ndio maana walishangilia sana, simba kwenye data/record ni kubwa sana Africa, lakini kinachochezwa hapa ni upupu tuNi kama wachezaji wa simba wanacheza kwa hofu
Wanaogopa wakiangalia pembeni hawamuoni Mzee Mguto wala Karia wa kuwasaidia ndio maana wana hofu sana.Ni kama wachezaji wa simba wanacheza kwa hofu
Wapush ila waangalie wasije wakajinyeaSimba wasiogope waendelee kupush.
Na wewe sisi tunashabikia mpira we unataja taja wanaume wako. Hapa ni mpira tu mabwana zako kaa nao huko huko bwege weee crossbow 💩🤣Unajitekenya bosi. Mzee Mguto atakuja kuwasaidia muda si mrefu.
TV yako itakuwa ile ya chogo mkuu ndio inakudanganya. Mpanzu mbona hayupo mkuu.Mpanzu aachie moja kwa wenzake
Sasa hapa kuna mpira au watu wanaruka ruka kama wanacheza rede. TFF hao wanakuja na mabanda kuwatetea. 🥸🥸👊Na wewe sisi tunashabikia mpira we unataja taja wanaume wako. Hapa ni mpira tu mabwana zako kaa nao huko huko bwege weee crossbow 💩🤣
Hawaitwi makolo. Sasa wanaitwa bodi ya ligi FC.GOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
NAMNA GAN PALE MAKOLO WANAKANDWA[emoji23]