FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

leo ndio nimeona umuhimu wa mayele. tulikuwa na magoli 4 au 5 pale, tena bure/bila. maxi angepata mtu wa uhakika kama mayele, ingekuwa safi sana. sasa tunaye mzize ambaye akipata mpira hadi aje ageuke adui ashafika. musonda naye ni fifty fifty sio wa kutegemea saaana. aziz ki nafikiri ana siku na siku. ila mayele alikuwa wa kila siku.
 
Mzize bado mzee huyo ni chaguo la 2 au 3 ni vile hatuna Finisher tegemeo, hapo hakuna namna lazima acheze yeye
 
Kwa jinsi mfumo wa Gamond, anahitajika "striker" wa kukaa pale katikati (box) ili beki 4&5 wa timu pinzani wasipate kucheza ila kumkaba. Msonda na Mzinze wote wamezoea kutoka nje ya "box" kutafuta mpira. Naamini Konki akichezeshwa atatumia vizuri hizo nafasi za "cross" za Max na Pacome hata za Aziz Ki. Ni muda tu timu pinzani zitasoma zaidi ya 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…