FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Daaaah yaani nimetoka kununua bundle la 25k azam nicheki game kumbe tbc kitonga aisee, pesa yangu daaah!
 
Pitch ya kiwango cha AFCON, inaruhusu boli kutembea.

Ebwana sijaiangalia Simba toka Mapinduzi Cup, kuna matumaini ya ushindi leo?
 
Wachambuzi wenye weledi Tanzania ambao kamwe huwezi jua wanaegemea upande gani ni ambangile na mbwaduke.
 
Team ya wahuni. Wamekusanyana wakapachikwa kwenye team inaitwa Simba Sports Club.

Hamna kitu mkusanyiko wa watu wanaomtajirisha try again naangungo wa msovero.

Wanapigwa. Mungu akiwaonea huruma draw. Kushinda hakupo. Piga ua. Hakupo. SIMBA WAKISHINDA NIPIGWE BAN YA WEEK NZIMA. NAJUA HAITOTOKEA WAKASHINDA HAWA VILAZA.
 
Niseme nini vipenzi vyangu zaidi ya kuwatakia kila la heri...hakika robo fainali tunaenda...
Amina....
Simba Nguvu moja
[emoji3590] [emoji3590] [emoji3590] [emoji3590] 🀍🀍🀍🀍🀍🀍🀍🀍
Na iwe hivyoooo [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…