FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Kazi ipo leo
20240223_090400.jpg
 
Acha kukariri mkuu kisa tuu n TBC, mechi za kombe la dunia na AFCON zote zilikuwa HD.

Hii n kawaida yetu Wabongo kulalamikia kitu ht kama hukijui kinafanya vp kazi.

Kuna SD (standard definition) na HD (high definition) zote Hizi ni za kulipia hvy Tv husika inaamua ilipie ya kiwango kipi.
Hakuna HD hapo
 
Kwa dakika hizi 3, Simba anafungwa game hii. Wachezaji wamekuwa goigoi mapema kabisa
 
Kwa kifupi wachezaji wa Asec ni trained and brain. Na kosa naloliona hapa ni Simba kuwa na akili za kupenda kucheza nyuma, pasi mkaa na kusubiri mipira ambayo Asec watakosea.
 
Azam mjanja ndio maana aliingia mkataba wa miaka 8. Ina maana mtu hakuna broadcaster ataingilia hapa kati.
Biashara ndio ni ujanja, anyway niambie hapa TZ ni broadcaster yupi anaweza kufanya ligi
 
Kheeeeh penalty itokee kwa kipiii? Lol.
Jamaniiiii had naogopaaaa
 
Back
Top Bottom