FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Hakuna HD hapo
 
Kwa dakika hizi 3, Simba anafungwa game hii. Wachezaji wamekuwa goigoi mapema kabisa
 
Kwa kifupi wachezaji wa Asec ni trained and brain. Na kosa naloliona hapa ni Simba kuwa na akili za kupenda kucheza nyuma, pasi mkaa na kusubiri mipira ambayo Asec watakosea.
 
Azam mjanja ndio maana aliingia mkataba wa miaka 8. Ina maana mtu hakuna broadcaster ataingilia hapa kati.
Biashara ndio ni ujanja, anyway niambie hapa TZ ni broadcaster yupi anaweza kufanya ligi
 
Kheeeeh penalty itokee kwa kipiii? Lol.
Jamaniiiii had naogopaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…