FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Ilibaki tena hivi....🫰
Aiseee
 
Hawa Asec wanafanya mashambuliziii kwa kushtukiza, na wako vizuriiiii ktk hilo.
 
Simba watulie na wafanye mambo kwa usahihi, wanaweza kupata kitu cha faida.
Hiyo kutulia ndio kitu kigumu kwao. Imagine,beki zote mnaenda kucheza dead ball huku wakijua hawana mbio za kuzuia counter attack. Mfyuu
 
Hiyo kutulia ndio kitu kigumu kwao. Imagine,beki zote mnaenda kucheza dead ball huku wakijua hawana mbio za kuzuia counter attack. Mfyuu
Yaan match ya leo, simba wasituangushe mashabiki.
Tunaumiaa mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…