ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mmetukumbusha wacha tukateLeo mida ya saa 4.00 usiku kutakuwa na mtanange kati ya timu yetu ya simba dhidi ya asec Mimosas.
Huku tulipo Mwanza maeneo ya Mahina, Mwananchi, huwa umeme unakatwa mida hiyo.
Tunawaomba sana Shirika letu la Tanesco kuwa kwa leo msikate umeme ili tushuhudie mtanange huo ambao ni muhimu sana kwa sisi wapenzi wa Klabu ya Simba.
Nipo nakunywa ukwaju hapa 😂😂😂😂Pata kinywaji pata kinywaji
Huyo anajulikana mpuuze.Mode mko wapi, mpigeni ban huyu tutusa
Mechi inahitaji vijana hiiSaidoo mwili umechoka
Bora Saidoo kuliko Mzamiru amekuwa hewa sana recentlyMechi inahitaji vijana hii
Huwa analazimisha kuingia kwenye 18 hata kama hakuna huo ulazima na kuna mtu wa kumpa pasi.Kocha sijui kwanini anampenda Ntibanzonkiza
Watu tumesemaa wee had tumechokaaa, tumeamua kumuacha nae. KhaaaahKocha sijui kwanini anampenda Ntibanzonkiza
Hamna kitu hapo. Shangaa anaondolewa Phiri anabaki Saidoo..Saidoo mwili umechoka