FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Kuna shida tena kubwa sana kwenye scouting, nadhani pale Simba hakuna watu wa mpira.
 
Ila Simba tujitahidi kwenye usajili. Naona tunasajili ilimradi huku tukutaka kufika mbali
 
Haya wazee wa mahesabu njoo basi mpige mahesabu😅😅...

Mm nilishakamilisha mahesabu ni

1.Asec
2.Wydad
 
Sijui kwa nini Kibu alichezeshwa namba kumi na moja na leo Chama alitakiwa arudi ktk natural position yake,Saido angecheza kumi na moja. Sometimes hata mpangilio unaweza kukukosesha matokeo.
 
Benchika bana 😅😅😅 yaani unamtoa chama unaingiza mzamiru ?.
huyu aliletwa kwasababu ya tumbo au midevu mbona hata mgunda ni Bora😅😅
 
Sijui kwa nini Kibu alichezeshwa namba kumi na moja na leo Chama alitakiwa arudi ktk natural position yake,Saido angecheza kumi na moja. Sometimes hata mpangilio unaweza kukukosesha matokeo.

Sahihi kabisa
 
Nakazia
 
Bado kibarua kigumu, maan atazidiwa point 1 na jwaneng, na hapo watakutana Kwa mkapa.

Na akishinda wydad watakua na point sawa.

Afu kuna match za mwsho ndo zitaamua nan asepee robo.

Msimamo ulivyokaa kwa sasa, hata Wydad anaweza akafuzu...

Simba leo angeshinda, ndio ingekuwa Wydad katolewa...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…