Wakati mnaipigia mahesabu Wydad kesho mnakutana na surprise ya Galaxy kushindaTimu mbili zikilingana points kati yao wataangalia head to head walipokutana,aliyemfunga mwenzake magoli mengi anapita,wydad katufunga kwao goli 1 tumemfunga kwa mkapa goli 2 ,tunaendelea mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache mechi yao tunahesabu masaa tuUkiwa Utopox huwezi kuielewa soka maisha yako yote. Kuvuna point moja mbele ya Asec ugenini ni faida kubwa mno kwa Mnyama na hiyo inatosha kuonesha ukubwa na ubora wa mnyama kwenye michuano ya kimataifa.
Tunasubiri aibu ya leo kwa Mkapa.
Akishinda anakuwa na point 7, kwa mkapa tunampiga tunakuwa na points 9Wakati mnaipigia mahesabu Wydad kesho mnakutana na surprise ya Galaxy kushinda
Hao wasio na shule wameipeleka mara kadhaa robo fainali champions league na this time wanaipeleka tena. Hao wenu wenye makalio makubwa tuone kama watawavusha kwenda robo.Yule Try Again sina imani naye, yule sidhani kama ana upeo. Yeye na Mangungu nawaona waswahili swahili tu. Simba ni taasisi kubwa, haiwezi kuendeshwa na watu wasio na shule na vipawa
Kwahiyo team nyingine zipo ovyo ila unaishangaa Simba kuwa ovyo!!!??? Maajabu haya ni Tanzania pekee.Sio robo tuu,kwani msimu huu timu nyingi Zipo ovyo
Kasema ukweli 🤣 sema nusu wapigwe dakika za mwishoni😂🤣Nililala ndugu yangu. Vipi alituokota hapo au alisema kweli?
Jifunze kusoma post kabla hujakulupuka kuchangia.unaongozwa na hisia au umesikia wengine wanasema ukakariri? Simba ipi bora iliwahi mfunga Asec kwake?
Simba ni timu dhaifu, leo walitakiwe wafuzu kwenda robo fainali.: Asec Mimosas 0 - 0 Simba
Wydad pia ana GD mbovu, anahitaji ashinde kwa Goli nyingi sana ili kufuzu.Watu mnasema Wydad kishinda mechi zote,mnasahau vile vile akadraw na Asec au kufungwa,kwanini lazima ashinde kwani Asec hawapeleki timu uwanjani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria hazijabadilishwa bali tangu zamani mashindano yote ya CAF yanazingatia kanuni ya H2H kwanza kabla ya GD,Vivyo hivyo kwa Laliga nao wanazingatia H2H tofauti na EPLSheria imebadilishwa,timu zenye points sawa kwenye makundi zinapolingana wataangalia hizo timu mbili head to head walipokutana nani alimfunga magoli mengi mwenzake.
Wydad vs Simba (Morocco ) ilikuwa 1-0
Simba vs Wydad (Dar ) 2-0.
Kwahiyo tukilingana point na Wdad hata mechi zijazo ashinde magoli 10 haisaidii head to head tumemzidi magoli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa ligi ya mabingwa.Yanga ndiyo wangepangwa hili kundi, wangekuwa wanaongoza na wameishapita.
Simba tunajitafuta ila tukija kujipata tutakua bora sana,timu kwanza inajengwa kwenye kujilinda naona Benchika kalifanyia kazi bado kwenye ushambuliajiKwahiyo team nyingine zipo ovyo ila unaishangaa Simba kuwa ovyo!!!??? Maajabu haya ni Tanzania pekee.
Hakuna mtangazaji kama kabombe hii nchi,hao wengine ni njaa kali tuhuyu Nazareth Upete ni mwamba sana. dogo yupo vizuri..
kikubwa ahamie Azam wapambane na Baraka Mpenja. akawatoe wazee wa dakika wa jioooooooooooooooniiiii
mi naona kama we unapendahuwa sipendi mtu ana seme "tyuu". inakera mno.
🥤🥤Aminaaaa
❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 ❤️🔥 🤍🤍🤍🤍🤍
Bora tu hawajapigwa wangeniulia mtu bure.Kasema ukweli 🤣 sema nusu wapigwe dakika za mwishoni😂🤣