FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Timu mbili zikilingana points kati yao wataangalia head to head walipokutana,aliyemfunga mwenzake magoli mengi anapita,wydad katufunga kwao goli 1 tumemfunga kwa mkapa goli 2 ,tunaendelea mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mnaipigia mahesabu Wydad kesho mnakutana na surprise ya Galaxy kushinda
 
Ukiwa Utopox huwezi kuielewa soka maisha yako yote. Kuvuna point moja mbele ya Asec ugenini ni faida kubwa mno kwa Mnyama na hiyo inatosha kuonesha ukubwa na ubora wa mnyama kwenye michuano ya kimataifa.
Tunasubiri aibu ya leo kwa Mkapa.
Waache mechi yao tunahesabu masaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule Try Again sina imani naye, yule sidhani kama ana upeo. Yeye na Mangungu nawaona waswahili swahili tu. Simba ni taasisi kubwa, haiwezi kuendeshwa na watu wasio na shule na vipawa
Hao wasio na shule wameipeleka mara kadhaa robo fainali champions league na this time wanaipeleka tena. Hao wenu wenye makalio makubwa tuone kama watawavusha kwenda robo.
 
"Lazima tutamfunga Asec kwao."

Baada ya game, naona wamekuja tena wanasema

" Lazima tutamfunga Galaxy game ya mwisho"

Mashabiki wa Simba raha sana, wanapenda kulitumia hili neno " LAZIMA".

Yaani wanajiona wao ni MUNGU
 
unaongozwa na hisia au umesikia wengine wanasema ukakariri? Simba ipi bora iliwahi mfunga Asec kwake?
Jifunze kusoma post kabla hujakulupuka kuchangia.
Tunaongelea usajili wewe unaongelea matokeo.
Huoni tofauti?

Kwahiyo kama Simba haijawahi kuifunga Asec miaka 4, 5 au 7 iliyopita ikiwa na kikosi kikali haiwezi kuifunga?
Hayo ndiyo madhara ya kuanza kushabikia mpira ukubwani.
 
Sheria imebadilishwa,timu zenye points sawa kwenye makundi zinapolingana wataangalia hizo timu mbili head to head walipokutana nani alimfunga magoli mengi mwenzake.
Wydad vs Simba (Morocco ) ilikuwa 1-0
Simba vs Wydad (Dar ) 2-0.

Kwahiyo tukilingana point na Wdad hata mechi zijazo ashinde magoli 10 haisaidii head to head tumemzidi magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria hazijabadilishwa bali tangu zamani mashindano yote ya CAF yanazingatia kanuni ya H2H kwanza kabla ya GD,Vivyo hivyo kwa Laliga nao wanazingatia H2H tofauti na EPL
 
Kwahiyo team nyingine zipo ovyo ila unaishangaa Simba kuwa ovyo!!!??? Maajabu haya ni Tanzania pekee.
Simba tunajitafuta ila tukija kujipata tutakua bora sana,timu kwanza inajengwa kwenye kujilinda naona Benchika kalifanyia kazi bado kwenye ushambuliaji
 
huyu Nazareth Upete ni mwamba sana. dogo yupo vizuri..

kikubwa ahamie Azam wapambane na Baraka Mpenja. akawatoe wazee wa dakika wa jioooooooooooooooniiiii
Hakuna mtangazaji kama kabombe hii nchi,hao wengine ni njaa kali tu
 
Back
Top Bottom