Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wako vizuri sana kwenye upigaji. Kimsingi wametuzidiHapo Wakilenga Goal Inazama Manula Hana Uwezo Kwenye Mpira Ya Mbali
Mbona anacheza vizurKocha sijui kwanini anampenda Ntibanzonkiza
Haha shukrani mtanii
Hakika. Tena sio mazuri tu, hata akili za mpira huzioni ukitoa Chama, Inonga na Che Malone tu.Wachezaji wa Simba hawafundishiki, mazito kama yamekula ulimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila sio poa kwa kweli.Wachezaji wa Simba hawafundishiki, mazito kama yamekula ulimbo
Midfield ya SIMBA haifanyi transition ya haraka , lakini pia hakuna wings zinazokimbikia na kutanua uwanja...SARR, CHAMA, KONOUTE, NGOMA, SAIDOO ni kama wote ni viungo by nature...anabaki JOBE pekee kama standing strikerStyle ya uchezaji wa Ngoma inaanza kuniboa now days. Too slow