FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Hata hao azam w
Wananunua startime kufanya production hawajashindwa kupitia hd zao za starworld unayeongea nae hapa ni mtu wa production hata wasikudanganye azam awafanyi production Caf naó wananunua wanafanya hapa bongo
Mbona nimeandika wananunua wote, na Azam anafanya production ya hapa bongo au ww Umeelewa nn.?
Huyo anayefanya production ni lazima iwe HD ila hao wengine wanaoonyesha sio lazima iwe HD.
 
Hawa Memosa wanacheza ili wasiumie au kuchoka maana washafunga hesabu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Benchikaa ni mwehuu kabisaa, anafanya upuuzi ganii hapa?
 
Back
Top Bottom